Manqoba Mngqithi Kocha mpya wa Yanga SC. Makombe yatabebwa sana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara.
==========
sajili wa Mwaka Huu ni wamoto sana Wananchi..

Viongozi wetu wako makini kwa Utulivu na umakini mkubwa kuhakikisha Tunajenda TIMU ITAYOITETEMESHA AFRIKA Msimu Ujao🧠👊🏼

Hakuna Jambo Litavuja wala Kutoka ili kuondoa Presha kwa wachezaji tunaowahitaji

Screenshot 2026-07-10 223039.png
Screenshot 2026-07-10 223213.png
 
Hizi timu za kariakoo moja ya mambo yabayofanya wasiendelee ni kuigana.
Yanga akiwa na kocha toka ulaya mashariki Simba nao watatafuta hukohuko, wakipata kongo hivyohivyo kwa kifupi hazina viobgozi wabunifu.
Hata usajili zimekuwa zikiigana.
Yaan kama *******..hata sajili zao za wachezaji ziko hivyo..wachezaji kutoka ligi Fulani wakiperform wote wanakimbilia huko..mpira wa Africa makocha ni waarabu tu
 
Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara.
==========
sajili wa Mwaka Huu ni wamoto sana Wananchi..

Viongozi wetu wako makini kwa Utulivu na umakini mkubwa kuhakikisha Tunajenda TIMU ITAYOITETEMESHA AFRIKA Msimu Ujao🧠👊🏼

Hakuna Jambo Litavuja wala Kutoka ili kuondoa Presha kwa wachezaji tunaowahitaji

View attachment 3626595View attachment 3626596
 
Timu ipi inayoiga nyingine?
Zote mbili zinaigana. Matukio ya nani kaanza kumuiga mwenzake, ndiyo yanatofautiana. This time Yanga kamuiga simba.

Wakati kocha wa simba lipokuwa ni Juma Mgunda, aliondolewa kuwa kocha mkuu wa simba kwa sababu tu Yanga ilimuajiri kocha mzungu, hivyo na simba nao wakamuajiri mzungu.
 
Simba alianza kuajiri makocha wazungu baada ya Mgunda? Kabla ya Mgunda kocha aliyekuwepo simba hakuwa mzungu mkuu?
 
Hizi timu za kariakoo moja ya mambo yabayofanya wasiendelee ni kuigana.
Yanga akiwa na kocha toka ulaya mashariki Simba nao watatafuta hukohuko, wakipata kongo hivyohivyo kwa kifupi hazina viobgozi wabunifu.
Hata usajili zimekuwa zikiigana.

Weka ushahidi nani amemwiga nani. Maana imekuwa wimbo hizi teams hizi teams
 
Kweli,
Yanga Nabi, Simba Benchikha.
Simba Msouth , Yanga Msouth.
Hovyo kabisa.
Simba wakishindwa kumleta Mlatino wakati wa Gamond nahisi pesa iligoma.
 
Weka ushahidi nani amemwiga nani. Maana imekuwa wimbo hizi teams hizi teams
Yanga anamuiga simba, Simba day yanga kaiga kwa simba, Msemaji simba ilipomchukua Ahmed Aly Yanga ikaiga ikamchukua Ali Kamwe, Simba imeleta kocha toka A. Kusini yanga nayo wameiga japo sioni tatizo.
 
Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara.
==========
sajili wa Mwaka Huu ni wamoto sana Wananchi..

Viongozi wetu wako makini kwa Utulivu na umakini mkubwa kuhakikisha Tunajenda TIMU ITAYOITETEMESHA AFRIKA Msimu Ujao🧠👊🏼

Hakuna Jambo Litavuja wala Kutoka ili kuondoa Presha kwa wachezaji tunaowahitaji

View attachment 3626595View attachment 3626596
Manikoba tuuu simple acha awanyoosheee walee.....
 
Back
Top Bottom