Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yaan kama *******..hata sajili zao za wachezaji ziko hivyo..wachezaji kutoka ligi Fulani wakiperform wote wanakimbilia huko..mpira wa Africa makocha ni waarabu tuHizi timu za kariakoo moja ya mambo yabayofanya wasiendelee ni kuigana.
Yanga akiwa na kocha toka ulaya mashariki Simba nao watatafuta hukohuko, wakipata kongo hivyohivyo kwa kifupi hazina viobgozi wabunifu.
Hata usajili zimekuwa zikiigana.
Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara.
==========
sajili wa Mwaka Huu ni wamoto sana Wananchi..
Viongozi wetu wako makini kwa Utulivu na umakini mkubwa kuhakikisha Tunajenda TIMU ITAYOITETEMESHA AFRIKA Msimu Ujao🧠👊🏼
Hakuna Jambo Litavuja wala Kutoka ili kuondoa Presha kwa wachezaji tunaowahitaji
View attachment 3626595View attachment 3626596
Timu ipi inayoiga nyingine?Kama ni kweli basi kuna dalili ya hizi timu kuigana kwenye kufanya maamuzi yao! Jambo ambalo ni upuuzi
Zote mbili zinaigana. Matukio ya nani kaanza kumuiga mwenzake, ndiyo yanatofautiana. This time Yanga kamuiga simba.Timu ipi inayoiga nyingine?
Simba alianza kuajiri makocha wazungu baada ya Mgunda? Kabla ya Mgunda kocha aliyekuwepo simba hakuwa mzungu mkuu?Zote mbili zinaigana. Matukio ya nani kaanza kumuiga mwenzake, ndiyo yanatofautiana. This time Yanga kamuiga simba.
Wakati kocha wa simba lipokuwa ni Juma Mgunda, aliondolewa kuwa kocha mkuu wa simba kwa sababu tu Yanga ilimuajiri kocha mzungu, hivyo na simba nao wakamuajiri mzungu.
Hizi timu za kariakoo moja ya mambo yabayofanya wasiendelee ni kuigana.
Yanga akiwa na kocha toka ulaya mashariki Simba nao watatafuta hukohuko, wakipata kongo hivyohivyo kwa kifupi hazina viobgozi wabunifu.
Hata usajili zimekuwa zikiigana.
Nimesema zinaigana fatilia hivi vilabu labda kama siyo mfatiliaji.Weka ushahidi nani amemwiga nani. Maana imekuwa wimbo hizi teams hizi teams
Kweli,Hizi timu za kariakoo moja ya mambo yabayofanya wasiendelee ni kuigana.
Yanga akiwa na kocha toka ulaya mashariki Simba nao watatafuta hukohuko, wakipata kongo hivyohivyo kwa kifupi hazina viobgozi wabunifu.
Hata usajili zimekuwa zikiigana.
Nimesema zinaigana fatilia hivi vilabu labda kama siyo mfatiliaji.
Yanga anamuiga simba, Simba day yanga kaiga kwa simba, Msemaji simba ilipomchukua Ahmed Aly Yanga ikaiga ikamchukua Ali Kamwe, Simba imeleta kocha toka A. Kusini yanga nayo wameiga japo sioni tatizo.Weka ushahidi nani amemwiga nani. Maana imekuwa wimbo hizi teams hizi teams
Manikoba tuuu simple acha awanyoosheee walee.....Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara.