Manqoba Mngqithi Kocha mpya wa Yanga SC. Makombe yatabebwa sana

Yanga anamuiga simba, Simba day yanga kaiga kwa simba, Msemaji simba ilipomchukua Ahmed Aly Yanga ikaiga ikamchukua Ali Kamwe, Simba imeleta kocha toka A. Kusini yanga nayo wameiga japo sioni tatizo.
Sio kweli Yanga alianza kuleta kocha kutoka SA....Saed yule....au umesahau ??
 
Bado ni yale yale simba hapo kamuiga yanga
Tupambane kuinua mpira wetu uwe full professional....iwe ajira na biashara rasmi faida ya vijana wetu....na burudani......mengine hayana tija mkuu
 
Yanga anamuiga simba, Simba day yanga kaiga kwa simba, Msemaji simba ilipomchukua Ahmed Aly Yanga ikaiga ikamchukua Ali Kamwe, Simba imeleta kocha toka A. Kusini yanga nayo wameiga japo sioni tatizo.

Ndo ungesema hivyo sasa. Hapo unakuwa umeeleweka na umekuwa specific. Not general.
 
Timu za simba na Yanga jau sana, huu upuuzi ungekuwa unafanywa na timu za Ulaya bc kocha asingemaliza Ht robo msimu
 
Mjomba pole sana. Siyo kwa sifa hizi.
 

TUMEBEBA SANA MAKOMBE NA HILI BICHWA BONGE
 
Reactions: BRN
Aibu utaona wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…