educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
WAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI? WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji nk) wanayotoa kwa waonyeshaji au wanunuzi? je hawaoni kuweka kiingilio kunafanya watu wengi kutotembelea maonyesho hayo? hivyo wafanyabiashara kuzidi kukosa wateja?
Mkuu, kwani hayo ni Maonesho ya Biashara ama Biashara??? make vitu vyote vinauzwa hapo, sema tu ni kwa bei pungufu.
Kiingilio kinasaidia kupunguza vurugu mle ndani. Sipati picha bila ya kiingilio hali ingekuwaje, "pocket" wangejazana mle ndani. Naunga mkono kiingilio kidogo kama kile, sio ishu sanaaa. Mtu ambaye yuko serious kufuatilia maonesho kama sehemu ya kuangalia fursa huwezi ukaumizwa na kiingilio cha sh elfu tatu. Binafsi nimejifunza mengi ukizingatia ni mara yangu ya kwanza kuhudhuria na Inshallah sitokosa tena kama afya na muda utaruhusu. TUKUTANE KWENYE NANE NANE.WAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI? WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji nk) wanayotoa kwa waonyeshaji au wanunuzi? je hawaoni kuweka kiingilio kunafanya watu wengi kutotembelea maonyesho hayo? hivyo wafanyabiashara kuzidi kukosa wateja?
Kwa hiyo ulitaka vile vitu vinavyooneshwa vigawiwe bure kwa watanzania ili iwe maonesho ya biashara siyo? Kuna haja ya WaTZ tukaweka haya mambo ya UKAWA pembeni tuwe serious kwenye kutafuta.Mkuu, kwani hayo ni Maonesho ya Biashara ama Biashara??? make vitu vyote vinauzwa hapo, sema tu ni kwa bei pungufu.
Maonesho ni kuonesha na si kuuzaKwa hiyo ulitaka vile vitu vinavyooneshwa vigawiwe bure kwa watanzania ili iwe maonesho ya biashara siyo? Kuna haja ya WaTZ tukaweka haya mambo ya UKAWA pembeni tuwe serious kwenye kutafuta.
Ulienda choo kipi chifu? Kuna vyoo vya public karibu na jamaa wa SEIFI bure bureshimule ndani hata kwenda chooni tu unalipia sasa unajiuliza hiyo Tsh. 3,000/= inaenda wapi?
Nchi hii ya maajabu kweli ndo nchi pekee (kwa ufahamu wangu) unalipia PANTONI. wakati ndugu zetu Kenya hapo pamoja na kupenda sana pesa lakin Pantoni zao ni bure. Sasa sisi tunatoza pesa kila sehemu ukiuliza unaambiwa kama huna pesa PIGA MBIZI.
Wapandishe kiingilio kuwa 10,000
wataingia wenyewe!