Mantiki ya kiingilio 7-7 ni nini?

Mantiki ya kiingilio 7-7 ni nini?

Yes ukiweka bure hapatatosha ndani...watu watajaza mpaka pa kukanyaga kutakuwa hakuna....halafu wale wenye kwenda kujifunza na kununua vitu hawataingia ,wataenda wale wazee wa kitonga/sadala kwa ajili ya kwenda kuangalia wanyama tu na hawana hata mia ya kununua vitu.

Kwahiyo watu waenye fedha wakiona shazi kubwa hawatoingia......lakini ukiweka kiingilio utawaondoa hao wazee wa kitonga na kuwapata wenye nia ya dhati ya kuingia 77.
Kariakoo Kuna kiingilio?mbona watu hawakanyagani?
 
Nchi hii ya maajabu kweli ndo nchi pekee (kwa ufahamu wangu) unalipia PANTONI. wakati ndugu zetu Kenya hapo pamoja na kupenda sana pesa lakin Pantoni zao ni bure. Sasa sisi tunatoza pesa kila sehemu ukiuliza unaambiwa kama huna pesa PIGA MBIZI.
Ferry yao inaitwa Likoni, ipo Mombasa 001 pwani ya kenya. Kinacholipishwa ni gari tu. Mwenda kwa miguu anavuka buree kabisa.
 
Back
Top Bottom