Mantiki ya kiingilio 7-7 ni nini?

Kariakoo Kuna kiingilio?mbona watu hawakanyagani?
 
Nchi hii ya maajabu kweli ndo nchi pekee (kwa ufahamu wangu) unalipia PANTONI. wakati ndugu zetu Kenya hapo pamoja na kupenda sana pesa lakin Pantoni zao ni bure. Sasa sisi tunatoza pesa kila sehemu ukiuliza unaambiwa kama huna pesa PIGA MBIZI.
Ferry yao inaitwa Likoni, ipo Mombasa 001 pwani ya kenya. Kinacholipishwa ni gari tu. Mwenda kwa miguu anavuka buree kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…