Najua mwisho wa undergraduates kukamilisha registration OUT ni August 31. Mimi mpaka sasa sijakamilisha kwa vile mtandao uko very complicated! Je naweza kutuma maombi manually na mavyeti yangu. Ada sh ngapi kwa mwaka?