Manual registration- OUT

Manual registration- OUT

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Najua mwisho wa undergraduates kukamilisha registration OUT ni August 31. Mimi mpaka sasa sijakamilisha kwa vile mtandao uko very complicated! Je naweza kutuma maombi manually na mavyeti yangu. Ada sh ngapi kwa mwaka?
 
Tuma tu manually mkuu,inakubalika.Ada huwa inalipwa kwa awamu kutegemeana na kozi,ila fungua prospectus yao utakuta viwango vimewekwa
 
Back
Top Bottom