Mh! Huu ugunduzi balaa!Barakoa unaweza pishana na mtu anaekudai ukasave.
Huo ni ukweli kwa watu wengi wasioujua,ila utafiti niliousoma leo ya kuwa Covid-19 inaambikizwa kupitia kwenye macho ndio umeniacha hoi...Mh! Huu ugunduzi balaa!
Lakini si wanasema eti droplets zenye Corona zikipitia machoni unaambukizwa?Huo ni ukweli kwa watu wengi wasioujua,ila utafiti niliousoma leo ya kuwa Covid-19 inaambikizwa kupitia kwenye macho ndio umeniacha hoi...
tulisikia sana ni vile kuongea ongea na hizi chupi za mdomo hakuna stimuhata hzo harufu mbaya hatuzisikii maana tumevaa barakoa!..
juzi nmetest kujamba kwenye daladala hakuna aliegundua.. kwahyo zinasave sana!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado natafakari mkuu,kama ni kweli,na kama nimesalimika kuanzia kesho naanza kuvaa miwani...Lakini si wanasema eti droplets zenye Corona zikipitia machoni unaambukizwa?
Ahahahahahahh! Sawa Mkuu.Bado natafakari mkuu,kama ni kweli,na kama nimesalimika kuanzia kesho naanza kuvaa miwani...
Yan swala hizi barakoa hata hili tatizo likipa Kuna watu tumeshapata njia mpya yakuingia mjini na kufanya yako bila mden wako kukujua Yan itaendelea kuvaliwa kwagia ya kujikinga na mafuaBarakoa unaweza pishana na mtu anaekudai ukasave.