mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Straight kwenye mada kutokana na mlipuko covid 19 wengi wetu ndio tumezifahamu "mask" barakoa..
Wengi tulikua tunaziona hospitalini kwa wale wanaofanya kazi theatre Mara nyingi wao ndio huzivaa (hapo awali) tofauti na hivi sasa zinavaliwa na watu wa nyanja mblmbl ili kujikinga na virus vya corona..
Kwanza zimekuja na faida nyingi
1. Kwenye daladala zimepunguza harufu mbaya ya vinywa ile harufu mbaya ya mdomoni miongoni mwa abiria imepungua zaidi labda ya vikwapa vya baadhi ya makoñdakta..
2. Vilevile sehemu za kazini kulikua na haka ka kero ka harufu mbaya..