Linus Mtei
Member
- Feb 18, 2015
- 27
- 21
Mkojo wa sungura unakazi gani please naombeni nami nijue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkojo wa sungura unakazi ga😨😨😨ni please naombeni nami nijue
Mkojo wa sungura huweza kutumika kama mbolea, ingawa mkojo wa sungura ni mkali sana hivyo hautakiwi kuweka mwingi kwenye mmea kwani mmea unaweza kuungua.Mkojo wa sungura unakazi gani please naombeni nami nijue
Mkuu habari naomba namba yakoNi kweli soko lipo tena la uwakika
Nenda pale chuo cha kilimo SUA Morogoro wananunua 5Lts = 100,000/=
Note: Lazima uwe pure.
Sent using Jamii Forums mobile app