Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

G-T Black "mix" na White Orchid, ulete mrejesho mkuu. Angalia tu usije kua addicted
 

Hapo hapo njia ya Usalama inapogawa makaburi kama unatoka Salender ni kushoto, sasa we kata kulia. Kuna maduka hapo yamejipanga kulia , yanaangalina na bar/food joint na car wash. Which means kama unatokea BAKWATA Head Office ukimaliza HUGO tu unakata kushoto, halafu maduka yapo kulia.
 
Ok nishayajua hayo maduka...short cut ya kwenda four ways,the governors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…