Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

nilitumia copy zake zile za 35000 aisee kuna siku manzi alinipigia kuwa bado kwake anasikia harufu ya marashi yangu.hapo wiki imepita tangu niende kwake.
Ulienda kwa manzi aisee una moyo 😆😆😆
 
Hii ndio yenyewe
 

Attachments

  • 597BB10E-9190-4F1C-93D9-A410B0A8657B.jpeg
    597BB10E-9190-4F1C-93D9-A410B0A8657B.jpeg
    52.1 KB · Views: 12
♥️
 

Attachments

  • IMG_20241115_144708.jpg
    IMG_20241115_144708.jpg
    193.4 KB · Views: 7
  • IMG_20241115_144815.jpg
    IMG_20241115_144815.jpg
    157.1 KB · Views: 9
Creed inaoneka Iko Bomba,itabidi nipate hata copy yake
Nikijipata nitaanza kununukia kwa 900k saizi ngoja nijibane huku kwenye 30k
 
Back
Top Bottom