Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Hapohapo ukitazama madukani utaona Kuna sehemu Ipo wazi,, ndani yake Kuna frem zimetazamana.

Yaani ni mitaa hiyohiyo,ukichezesha macho utapaona.
Usiende kwenye zile barabara za vumbi .

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Naomba kuuliza hizo perfume za kupima bei ya chini ni shingap na je unapimiwa perfume yoyote unayotaka

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Kijana kama bado haujapata ajira usihangaike na perfumes izo za gharama... Nenda dukani kanunue Sansiro kwa 2500/= na utakuwa sawa na walionunua za Laki Laki na hautoijutia kamwe [emoji6]
Hizo za kupima zinaanzia elfu 2 tu!
Unanukia kitajiri.
 
Kijana kama bado haujapata ajira usihangaike na perfumes izo za gharama... Nenda dukani kanunue Sansiro kwa 2500/= na utakuwa sawa na walionunua za Laki Laki na hautoijutia kamwe [emoji6]
Kuna jamaa aliwahi kunipita harufu ya pafyum yake ikanistua. Moyoni nikajisemea huenda hii pafyum imetengenezwa na wale wajasiriamali wanaotengeneza sabuni za vyooni na batiki kwa kutumia mshumaa
 
Mm ni mdau wa one million Toka Enzi hizo once tried creed aventus ...asee creed ni shughuli ingne wajumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…