Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Global man na black fever ushaur wenu wadau nichukue ipi hapo
 
Unyunyu
 

Attachments

  • 255719884854_status_8edd3aa3a3494ec98e7240281f69acb9.jpg
    133.3 KB · Views: 60
Zipo hapa kuna jamaa anachanganya aina 3 au 4 inatoka bonge la pafyum mautamtamu namna yake nenda hapo sokoni karibu na msikiti
 
Nahitaji jina la perfume nzuri ya kiume isiyozidi 20K.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…