Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Hey jamani, hiv ni perfume na lotion ipi ambayo ni special kwa mwanaume kuitumia maana zinanishinda kuditamaini, so naomba nisaidiwe kutoka kwa specialists people waliosomea haya, asante.
 
Ebu weka perfume unayotumia
jina na bei yake na inakopatikana , nimechoka kutumia zile za buku 3 , kwanza zinaisha mapema , pili najua kwana standard kuliko hizo

Na hapo hapo inasemekana Mwanaume anayependa mno perfume ana vimelea fulani fulani vya " Mother's Day ". Sijui kuna ukweli gani katika hili na hapo hapo Wanasaikolojia wanasema Mwanaume mzuri, Shababi na mwenye mvuto wa akina Dada ni yule ambaye ana " kijiharufu " fulani ka makwapani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…