Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Mkuu utanifanya nibaki kwenye za elfu 3, 150 yote
Fanya maisha mkuu achana na maisha ya ku-act,perfumes za Tsh150,000/=+ wanatumia walioshajijenga kimaisha fanya kwa uwezo wako usilazimishe utajiumiza..kuwa smart ni muhimu but kwa kiasi ishi vile unaweza sio unatokea kwenye chochoro za kwa Mtogole au sijui Manzese kwa Mfugambwa kwenye kachumba kamoja kakupanga kanakofanana na store huku unanukia uturi wa 150,haileti maana ishi hivyo unatoka kwenye nyumba yako.zipo za bei rahisi 25,35&40 ni nzuri unanukia masaa zaidi ya 20 zitafute hizi zitakufaa.
 
Hapa ni Joop(Red),versace(blue),kouros(white)na cool water-men(blue).
Za kizamani ila makali yaleyale,chat ile ile
 

Vibaka wakivunja mlango unaweza upate pressure, majirani wakikuuliza umeibiwa nini husemi, unaona aibu kuwaambia wamelamba perfume ya sh.200,000
 
Just test "Guess Spot" u wil take it at whatever price
 
Vibaka wakivunja mlango unaweza upate pressure, majirani wakikuuliza umeibiwa nini husemi, unaona aibu kuwaambia wamelamba perfume ya sh.200,000
[emoji3] [emoji3] [emoji3] perfume yenyewe unakuta mtu amejinyima miezi mitatu anazichanga ili ainunue,lazima aweweseke.
 
Kwa pesa yako ya madafu nunua chastity elfu 7000
 
Ukipata kampuni ya lous cardinal fleva ya Amen au Compassion ni nzuri sana
Bei haizid elfu 7000-6000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…