Manula alituchomesha mechi na mtani tukala 5

Ni ukweli usiofichika kwamba MANULA anatuhujumu, kama mnataka tufike salama, huyuasisogee uwanjani kabisa.

Aidha Ahmed Ally inaonekana unatusaliti Dana shida ni ni? Unaweza ku stepdown kimyakimya na maisha yaendelee.
Ahmed Ali yeye ni afisa habari, je anahusika vipi na kufungwa kwa timu.

Tz ni kati ya nchi yenye wajinga wengi Duniani . Ipo 5 bora
 
Umesema kweli, nliwaambia watu Goli la kwanza kasababisha kibu ana tabia ya kujiqngusha hovyo
 
Yaani mmefungwa na Prison halafu mnamuhusisha muuza magodoro. Kwanini musimtaje mkuu wa gereza
 
Muuza magodoro ndio mnapigania nae nafasi ya pili? Sema muuza ukwaju
 
UKISHABIKIA SANA HIZI TIMU NA AKILI ZA KICHWANI HUWA ZINAYEYUKA.

UKIPENDA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZINAANZA KUPUNGUA.

MTU ANAANZA KUWA MJINGA NA MPUMBAVU PUMBANVU.
Kama wewe ulikuwa mpumvavu kuliko wote humu jukwaani mpaka ukapelekwa kwa psychologist akakushauri uachane na ushabiki maandazi.
 
Ni ukweli usiofichika kwamba MANULA anatuhujumu, kama mnataka tufike salama, huyuasisogee uwanjani kabisa.

Aidha Ahmed Ally inaonekana unatusaliti Dana shida ni ni? Unaweza ku stepdown kimyakimya na maisha yaendelee.
Hebu sasa muwe na msimamo?
Je, Yanga inaroga?
Inatembeza bahasha?
Manula anawachomesha?
Simba mbovu?
Simba haina usajili wa maana?
Yanga ni bora zaidi ya simba?
HEbu mchague moja sasa maana hamweleweki kila siku mna jambo jipya kama jack of many trades master of none.
 
UKISHABIKIA SANA HIZI TIMU NA AKILI ZA KICHWANI HUWA ZINAYEYUKA.

UKIPENDA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZINAANZA KUPUNGUA.

MTU ANAANZA KUWA MJINGA NA MPUMBAVU PUMBANVU.
Kaka samahani, wewe unasema umeacha simba na yanga.
Lakini simba mkishinda 6:0 unarud kuwa simba.
Hii kitaalam imekaa vipi mweshimiwa
 
Ni ukweli usiofichika kwamba MANULA anatuhujumu, kama mnataka tufike salama, huyuasisogee uwanjani kabisa.

Aidha Ahmed Ally inaonekana unatusaliti Dana shida ni ni? Unaweza ku stepdown kimyakimya na maisha yaendelee.
1.Goli la Kwanza Kennedy kapimwa umri, ghafla Mbangula na Manula face to face. Angejaribu kufuata angepigwa chenga yeye mngecheka zaidi na lawama juu.
2.Goli la pili Beki mnayemtegemea kabisa Inonga kapigwa chenga kaanguka mbali, amefuatwa Kennedy Kala chenga kabaki. Huyu Manula angefanyaje zaidi?
 
Mbona zigo anaangushiwa manula? Mwabieni mudi atoe bil 20 msajili wachezaji wazuri.
 
Yanga tulifungwa na Ihefu tulilaumu hatukufikia huku eti viongozi wajiuzulu, tumefungwa na Al Ahly maisha yanaendelea. Huko Umbumbuni kuna shida sana.
 
Kama wewe ulikuwa mpumvavu kuliko wote humu jukwaani mpaka ukapelekwa kwa psychologist akakushauri uachane na ushabiki maandazi.
Hili jamaa ndio lilikua linabadirisha majina kipindi kile wakati Yanga inashiriki shirikisho kila timu pinzani na Yanga linajiita hivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…