Ahmed Ali yeye ni afisa habari, je anahusika vipi na kufungwa kwa timu.Ni ukweli usiofichika kwamba MANULA anatuhujumu, kama mnataka tufike salama, huyuasisogee uwanjani kabisa.
Aidha Ahmed Ally inaonekana unatusaliti Dana shida ni ni? Unaweza ku stepdown kimyakimya na maisha yaendelee.
Tz ni kati ya nchi yenye wajinga wengi Duniani . Ipo 5 bora