bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Hawa wote ni makipa bora sana nchini mwetu ila kuna vigezo vya kuwa bora zaidi ya mwingine.
Natumai wote humu ni wana michezo kwa tofauti hii mnisaidie nani golikipa bora kati ya manula na Mshery.
Kwenye gemu moja moja walizocheza Manula kala kisago cha goli tano means amekosa clean sheet ila bwana mdogo Mshery kwa gemu moja aliyocheza kaondoka na Clean sheet 1 means hajarokota kwa nyavu.
Pia tutambue Simba ndio timu yenye ukuta wa Yericko ukuta mgumu kuliko timu zote ligi kuu ila bado alirokota tano kwa nyavu.