Manula gemu moja Goli tano, Mshery gemu moja clean sheet 1

Manula gemu moja Goli tano, Mshery gemu moja clean sheet 1

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hawa wote ni makipa bora sana nchini mwetu ila kuna vigezo vya kuwa bora zaidi ya mwingine.

Natumai wote humu ni wana michezo kwa tofauti hii mnisaidie nani golikipa bora kati ya manula na Mshery.

Kwenye gemu moja moja walizocheza Manula kala kisago cha goli tano means amekosa clean sheet ila bwana mdogo Mshery kwa gemu moja aliyocheza kaondoka na Clean sheet 1 means hajarokota kwa nyavu.

Pia tutambue Simba ndio timu yenye ukuta wa Yericko ukuta mgumu kuliko timu zote ligi kuu ila bado alirokota tano kwa nyavu.
 
Hawa wote ni makipa bora sana nchini mwetu ila kuna vigezo vya kuwa bora zaidi ya mwingine.

Natumai wote humu ni wana michezo kwa tofauti hii mnisaidie nani golikipa bora kati ya manula na Mshery.

kwenye gemu moja moja walizocheza Manula kala kisago cha goli tano means amekosa clean sheet ila bwana mdogo Mshery kwa gemu moja aliyocheza kaondoka na Clean sheet 1 means hajarokota kwa nyavu.

Pia tutambue Simba ndio timu yenye ukuta wa Yericko ukuta mgumu kuliko timu zote ligi kuu ila bado alirokota tano kwa nyavu.
Wenye akili ni wawili tu
 
Hahahaa Mbona Mshery alikuwa na majeraha ya muda mrefu tu tafuta utetezi mwingine mzee wa Hi5
Wanatamani kukuambia, "angalia na ubora wa timu walizokutana nazo", lakini wakiikumbuka timu iliyokutana na 5imba wanaona bora wafe na tai shingoni kuliko kumpaisha adui.
 
Back
Top Bottom