Manula huku alikua anatoka wapi?

Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
Mi kwangu, huyo forward alivyoukosa huo mpira au goli la wazi...na wasi wasi huenda Manula ni hicho kitambaa cheupe kinachoning'inia ktk nyavu za pembeni....

Hivyo kwa Akilimali...Nina uhakika manula alikuwepo.....nimesema manula sijamaanisha Manula....
 
Wengi mnacomment kinazi au hamjui mpira,save gani mpira bado ukaja golini kwake,aliesave hapo ni huyo foward wa lesotho kwa kukosea target hadi mpira ukampita tobo,na hii si ya kwanza,alishatoka dk za mwanzo goli likawa wazi almanura beki wa mwisho akauondoa mpira uliokuwa unaelekea golini,kuna mdau anamlaumu aggrey post za juu kwa kutoa ile kona,goli kalisababisha kipa,ki tactic mpira km ule alitakiwa aupige ngumi ili uende mbali,lkn kwa kutumia kuuputa kwa mikono alisababisha kuupunguza kasi na ukawa unaelea elea golini pale na mabeki na wakazubaa kuuondoa tukaadhibiwa lile!
 
Mi nadhan kosa kubwa ni la yule beki mjinga aliyetoa kona wakati alikua na Uwezo Wa kuondoa Mpira
Kona ni kitu cha kawaida kwenye mpira. Manula jana kachomesha period...huyo kipa ni mbovu. Mzuri kwenye mechi za manunuzi.
 
Kwa hapo Manula alikuwa anarudi baada ya kutuokoa...... kosa ni pale alivopangua kishamba ule mpira uliozaa goli....
acheni mambo ya ajabu nyie!!ule moira angeweza kuudaka?yeye kama yeye alitimiza jukumu lake la kuupangua pale golini kulikuwa na mabeki wangapi ambao mpira uliwapita??aliokoa goli ngapi?tatizo wabongo huwa kila kitu tuna fanya kwa mbinu zile zile tukitegemea matokeo tofauti!!
 
Kona ni kitu cha kawaida kwenye mpira. Manula jana kachomesha period...huyo kipa ni mbovu. Mzuri kwenye mechi za manunuzi.
tulisha wazoea watu kama nyie!!kweli kwa mchezo wa jana ni wa kumlaumu kipa?aliokoa michomo mingapi?yule beki aliporudisha nyuma isingekuwa yeye kuwahi si lingekuwa bao?kona ameipangua vizuri moira umewapita mabeki wangapi wako golini?
 
Reactions: Tui
Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
Hata goli ni makosa yake. Kaupanchi mpira hapo hapo. Experienced goal keeper ni aibu. Lakini tukubali tu tulizidiwa.
Kocha mbovu. Ile lineup ya kijinga kabisa. Mabeki sita, viungo wakabaji wawili na strikers wawili wasiolishwa mipira.
 
Hata goli ni makosa yake. Kaupanchi mpira hapo hapo. Experienced goal keeper ni aibu. Lakini tukubali tu tulizidiwa.
Kocha mbovu. Ile lineup ya kijinga kabisa. Mabeki sita, viungo wakabaji wawili na strikers wawili wasiolishwa
Tatizo lilianzia hapo kwenye line up,amunike asome alama za nyakati kabla cv yake kwenye soka haijachafuka
 
Mi nadhan kosa kubwa ni la yule beki mjinga aliyetoa kona wakati alikua na Uwezo Wa kuondoa Mpira
Mkuu yaani wew no kama mimi. Alivyotoa kona tu nililalamika sana. Nikasema hivi kwanini katoa kona wakati alikuwa na uwezo wa kutoa nje kawaida tu. Hivi ni beki gani yule
 
And ule mpira ulivyopigwa ni zile kona zinazoingiaga zenyewe kilicho msaidia manulla alikuwa kasimama palepale mpira ulipokuwa unaingia so akaruka akawa amekutana nae but hata angefanikiwa kuuokoa ingekuwa kaubahatisha tu...
Mara 3 mkui
1. Yeye na kipa ukamrudi
2. Kapiga ukagonga mwamba
3. Mpiri umpita tobo alipotaka kufunga
 
Kila Kubaki gorini ni mbaya sana maana anakua anaona gori kubwa( kwa mujibu wa makipa wengi)
 
Anatoka huko nyuma yake anakimbilia mbele yake ambako kuna goli la Taifa staz
 
Haya ndo mahaba sasa, mwanamichezo neutral hawezi kuacha kumlaumu Manula kwa kosa lililozaa goli. Radia kuangalia video ya goli utaona udhaifu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…