Manula huku alikua anatoka wapi?

Manula huku alikua anatoka wapi?

Ila jinsi yule striker wao alivyoukosa huo mpira baada ya kugonga mwamba kama unaamini nguvu za babu unaweza kusema kweli alisaidia
 
Mkuu ina maana ukukiona kitaulo pale kwenye nyavu,ebu iangalie vizuri picha [emoji2]
Ila jinsi yule striker wao alivyoukosa huo mpira baada ya kugonga mwamba kama unaamini nguvu za babu unaweza kusema kweli alisaidia
 
...............Duh inachekesha kweli,pia tukishajua alikuwa anatoka wapi pia itabidi atueleze alifata nini huko anakotoka?

Maana siyo kwa uzembe huu!
 
Angeendelea Kukaa golini kama unavyotaka ww Hilo lingekuwa ni goli, kumbuka huo mpira aliucheza na hapo kosa sio la kipa kosa ni la beki ambae alipiga mpira wa Kurudisha kwa kipa
Sijawahi kumuamini golikipa mfupi. Ufupi wake ulisababisha auteme ule mpira wa kona matokeo yake tukafungwa goli la kizembe!!!
 
Hapo alitoka kufanya save, na alifanikiwa kucheza huo mpira. Kwa vile hujui methali ya kubana goli utabaki kushangaa.

Asingetoka yule mshambuliaji alikuwa anafunga maana goli lingekuwa kubwa.

Kama alifanikiwa kucheza mpira mbona yeye kabaki nyuma na mpira uko karibu na goli?
 
Angeendelea Kukaa golini kama unavyotaka ww Hilo lingekuwa ni goli, kumbuka huo mpira aliucheza na hapo kosa sio la kipa kosa ni la beki ambae alipiga mpira wa Kurudisha kwa kipa
Kweli mkuu beki alirudisha pasi fupi ikabidi manula atokee.. kiukweli zile kona kasave nyingi
 
Kubali tuu mechi hukuangalia... kuna beki alitoa pasi fupi.. manula akatokea jamaa akanyanyua kwa juu.. Then akapiga shuti la chini likagonga mwamba mpira ukamkuta tena akaukosa.. sasa kosa la manula ni lipi?? Mieleka ipo kashabikie bro
 
Kwa hapo Manula alikuwa anarudi baada ya kutuokoa...... kosa ni pale alivopangua kishamba ule mpira uliozaa goli....
Na mwingine alipangua jamaa walipiga shuti Kali yondani akafuta katikati ya mstari Wa goli
 
Wengi mnacomment kinazi au hamjui mpira,save gani mpira bado ukaja golini kwake,aliesave hapo ni huyo foward wa lesotho kwa kukosea target hadi mpira ukampita tobo,na hii si ya kwanza,alishatoka dk za mwanzo goli likawa wazi almanura beki wa mwisho akauondoa mpira uliokuwa unaelekea golini,kuna mdau anamlaumu aggrey post za juu kwa kutoa ile kona,goli kalisababisha kipa,ki tactic mpira km ule alitakiwa aupige ngumi ili uende mbali,lkn kwa kutumia kuuputa kwa mikono alisababisha kuupunguza kasi na ukawa unaelea elea golini pale na mabeki na wakazubaa kuuondoa tukaadhibiwa lile!
Basi kwa ufupi sana naomba utueleze, golikipa akirudishiwa mpira mfupi na beki wake, afanye uamuzi gani?
 
Back
Top Bottom