Makambovich
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 207
- 200
Ila jinsi yule striker wao alivyoukosa huo mpira baada ya kugonga mwamba kama unaamini nguvu za babu unaweza kusema kweli alisaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jinsi yule striker wao alivyoukosa huo mpira baada ya kugonga mwamba kama unaamini nguvu za babu unaweza kusema kweli alisaidia
Sijawahi kumuamini golikipa mfupi. Ufupi wake ulisababisha auteme ule mpira wa kona matokeo yake tukafungwa goli la kizembe!!!Angeendelea Kukaa golini kama unavyotaka ww Hilo lingekuwa ni goli, kumbuka huo mpira aliucheza na hapo kosa sio la kipa kosa ni la beki ambae alipiga mpira wa Kurudisha kwa kipa
Hapo alitoka kufanya save, na alifanikiwa kucheza huo mpira. Kwa vile hujui methali ya kubana goli utabaki kushangaa.
Asingetoka yule mshambuliaji alikuwa anafunga maana goli lingekuwa kubwa.
Dah! Ina maana Manula ana kasi kuliko mpira?Kama alifanikiwa kucheza mpira mbona yeye kabaki nyuma na mpira uko karibu na goli?
Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
Kweli mkuu beki alirudisha pasi fupi ikabidi manula atokee.. kiukweli zile kona kasave nyingiAngeendelea Kukaa golini kama unavyotaka ww Hilo lingekuwa ni goli, kumbuka huo mpira aliucheza na hapo kosa sio la kipa kosa ni la beki ambae alipiga mpira wa Kurudisha kwa kipa
Dah hahahaDah! Ina maana Manula ana kasi kuliko mpira?
Alishapotea😀😀😀😀😀😀😀Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
Na mwingine alipangua jamaa walipiga shuti Kali yondani akafuta katikati ya mstari Wa goliKwa hapo Manula alikuwa anarudi baada ya kutuokoa...... kosa ni pale alivopangua kishamba ule mpira uliozaa goli....
Kwa kifupi hukuangalia mpira ulichoona ni hiyo picha tuTuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
Basi kwa ufupi sana naomba utueleze, golikipa akirudishiwa mpira mfupi na beki wake, afanye uamuzi gani?Wengi mnacomment kinazi au hamjui mpira,save gani mpira bado ukaja golini kwake,aliesave hapo ni huyo foward wa lesotho kwa kukosea target hadi mpira ukampita tobo,na hii si ya kwanza,alishatoka dk za mwanzo goli likawa wazi almanura beki wa mwisho akauondoa mpira uliokuwa unaelekea golini,kuna mdau anamlaumu aggrey post za juu kwa kutoa ile kona,goli kalisababisha kipa,ki tactic mpira km ule alitakiwa aupige ngumi ili uende mbali,lkn kwa kutumia kuuputa kwa mikono alisababisha kuupunguza kasi na ukawa unaelea elea golini pale na mabeki na wakazubaa kuuondoa tukaadhibiwa lile!