Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
 
Hapa wanakimbia gharama za kuvunja mikataba kwa wageni kitu ambacho kina wasumbuua zaidi Yanga, Singida nk kwa kuwalipa wageni pesa nyingi za kuvunja mikataba

Ukiangalia singida na yanga ni moja ya klabu zinazoongoza kupeleka wavhezaji kwa mkopo timu zingine ili waweze kupata nafasi ya kusajili wakimataifa.

Na inaposhindikana ndio kunaibuka hii njia mpya ya kuomba uraia
 
Simba ndo wamepeleka majina ya Mutale Mkwala Deborah na Jobe wawe raia
 
Yanga hatuna huo umbumbumbu
Sisi wachezaji wetu ni wakubwa wanacheza timu za mataifa Yao
Sio hao wa makolo wanamtafuta sehemu ya kuitwa national team
Hakuna wachezaji pale ni mazuzu yote..umri umewatupa mkono...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…