ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
NgomaHakuna wachezaji pale ni mazuzu yote..umri umewatupa mkono...
Mzamiru
Kapombe
Shabalala
Mutale
Mkwala
Manual
Ateba
Unawaona under 18, mnatulazimishe tumpe heshima Rage aliyewaita mbumbumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NgomaHakuna wachezaji pale ni mazuzu yote..umri umewatupa mkono...
Mbona watanzania kibao wanapewa uraia nchi zingineNyie endekezeni tuu upuuzi...yani tuko milion 60 bado mnawapa uraia watu...
Hatoweza kuchezea star, ameshachezea team yake ya taifa.mNdio
Nashangaa watu wanavyofurahia hawa wachezaji wa kigeni kupata uraia, Yaani viongozi wetu wanashindwa kukuza vipaji tulivyonavyo kupitia academy za vijana wanaenda kununua raia wa kigeni kuwa watanzania, hivi hao tunaowanunua wanatuonaje, hata wakipata huo uraia watakuwa na mapenzi ya dhati bongo kama ilivyo Kwa mataifa yao? Imagine Guinea anacheza na Tanzania na langoni kasimama Pinpin, atafanya kazi Kwa mapenzi yake? Ifike hatua tuache mihemko ktk maamuzi. Mfano Pinpin ana miaka 25+ atadumu timu ya taifa muda wa miaka mingapi akiwa na ubora wake??Camara hawezi kucheza Taifa stars
Huu ni upumbavu mkubwa aisee.Nyie endekezeni tuu upuuzi...yani tuko milion 60 bado mnawapa uraia watu...
Lala mzee baba...Ngoma
Mzamiru
Kapombe
Shabalala
Mutale
Mkwala
Manual
Ateba
Unawaona under 18, mnatulazimishe tumpe heshima Rage aliyewaita mbumbumbu
Hii ya kugawa uraia kama pipi ni challenge mpya kwa wachezaji wazawa waliokuwa oya oya na timu ya taifa. Sasa watakaa benchi na kujutia nafasi zao timu hadi watu watukane ndo washinde.Nyie endekezeni tuu upuuzi...yani tuko milion 60 bado mnawapa uraia watu...
Duuuh! Unajua sheria za soka kwa mchezaji aliyebadili uraia?Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
Nchi inamapori mengi, wageni waende chakaNyie endekezeni tuu upuuzi...yani tuko milion 60 bado mnawapa uraia watu...
Kwamba camara haitwi neshino timu?Yanga hatuna huo umbumbumbu
Sisi wachezaji wetu ni wakubwa wanacheza timu za mataifa Yao
Sio hao wa makolo wanamtafuta sehemu ya kuitwa national team
MbumbumbuManula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)