Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 3,984 Reaction score 5,820 Jan 26, 2025 #41 Huyu si ameshacheza mechi za kimataifa na timu yake ya taifa. Sasa kupewa uraia ina faida gani kwa taifa letu?
Huyu si ameshacheza mechi za kimataifa na timu yake ya taifa. Sasa kupewa uraia ina faida gani kwa taifa letu?
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Jan 26, 2025 #42 Kalpana said: Nyie endekezeni tuu upuuzi...yani tuko milion 60 bado mnawapa uraia watu... Click to expand... Wengine wanapanguzwa huko kwa kutekwa na kupotezwa kabisa. Musa Mwakitalima Camara.
Kalpana said: Nyie endekezeni tuu upuuzi...yani tuko milion 60 bado mnawapa uraia watu... Click to expand... Wengine wanapanguzwa huko kwa kutekwa na kupotezwa kabisa. Musa Mwakitalima Camara.