kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Leo Manula alikuwa mchangamfu mwenye bashasha na furaha sababu alikuwa nyuma ya ukuta imara wa yanga. Nadhani huko alipo anatamani asajiliwe yanga ili awe salama kutoka na ukuta mzito wa yanga tofauti na ule wa yeriko wa kwetu wana lunyasi
Hongereni yanga kwa ukuta ule mmemfanya manula asipate kazi nzito kutoka kwa washambuliaji hatari wa Niger
Kuna kitu cha kujifunza sisi wanalunyasi mabeki wapo hapa hapa bongo.
Hongereni taifa stars
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Wanalunyasi tushukuru kipa wetu alikuwa kwenye mikono salamaHizi ndo ibada za vilabu sasa huwezi furahia ushindi wa nchi yako bila kuhusisha club yako.
Ukute angefungwa ungesema kipa wa Simba katufungisha.
Ni kweli sababu wachezaji wetu simba hawaitwi timu za taifa hivyo wanapata muda wa kupumzikaLakini hizi mechi za stars hazitaiacha salama yanga!
Unafikiri timu kutoa walinzi watatu ni jambo dogo?Yaani hata timu ya Taifa watu mnaleta mambo ya Yanga na Simba?
KivipiLakini hizi mechi za stars hazitaiacha salama yanga!
Mi nilihesabu kikosi Cha kwanza Taifa Stars nikaona Yanga Wachezaji 3 Simba 1 nikasema ndo maana Simba walipigwa khamsa 5G kwa Mkapa!Yaani hata timu ya Taifa watu mnaleta mambo ya Yanga na Simba?
Kikubwa wacheze kwa tahadhariLakini hizi mechi za stars hazitaiacha salama yanga!
Leo Job tayari.Lakini hizi mechi za stars hazitaiacha salama yanga!
Keshapata majeruhi?Leo Job tayari.
Dickson Job alizuga tu ili asipewe red card baada ya kucheza faulo, mi nilimuona yuko fit kabisa ile ilikuwa janja janja tu ya kupotea muda!Leo Job tayari.
Bado watakuwa na uchovu hawataweza kucheza kwa ufanisi gemu yao ya ijumaaKikubwa wacheze kwa tahadhari
Safu yake nzima ya ulinzi itakuwa na uchovu, mwarabu atakuwa anateleza tu hadi goliniKivipi