Manula kafurahia kucheza na ukuta wa Yanga

Manula kafurahia kucheza na ukuta wa Yanga

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Leo Manula alikuwa mchangamfu mwenye bashasha na furaha sababu alikuwa nyuma ya ukuta imara wa yanga. Nadhani huko alipo anatamani asajiliwe Yanga ili awe salama kutoka na ukuta mzito tofauti na ule wa Yeriko wa kwetu wana Lunyasi

Hongereni Yanga kwa ukuta ule mmemfanya Manula asipate kazi nzito kutoka kwa washambuliaji hatari wa Niger

Kuna kitu cha kujifunza sisi wanalunyasi mabeki wapo hapa hapa bongo.

Hongereni Taifa Stars
 
Leo Manula alikuwa mchangamfu mwenye bashasha na furaha sababu alikuwa nyuma ya ukuta imara wa yanga. Nadhani huko alipo anatamani asajiliwe yanga ili awe salama kutoka na ukuta mzito wa yanga tofauti na ule wa yeriko wa kwetu wana lunyasi

Hongereni yanga kwa ukuta ule mmemfanya manula asipate kazi nzito kutoka kwa washambuliaji hatari wa Niger

Kuna kitu cha kujifunza sisi wanalunyasi mabeki wapo hapa hapa bongo.

Hongereni taifa stars

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app

Ngonjera tu hizi
 
Hizi ndo ibada za vilabu sasa huwezi furahia ushindi wa nchi yako bila kuhusisha club yako.

Ukute angefungwa ungesema kipa wa Simba katufungisha.
 
.
20231118_214431.jpg


Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom