Manula kafurahia kucheza na ukuta wa Yanga

Kwa hiyo mtoa mada unataka kusema ukuta wa Yanga umemsaidia Manula kupata clean sheet ya kwanza msimu huu!!
 
dah huu ukuta wa taifa stars hatari kwakweli kama sio mabeki tungetoka patupu hongera mabeki wa taifa stars.

nimekuja kugundua djigu diara angekuwa hana beki bora asingekuwa na ubora huo.
 
Mkuu tusubiri mechi ingine, walicheza hovyo ingawa walishinda,na Niger wenyewe wana kiwango duni,tuone mechi inayofuata wakikutana na Morocco kama goli haitakwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…