Manula kafurahia kucheza na ukuta wa Yanga

Manula kafurahia kucheza na ukuta wa Yanga

Kwa hiyo mtoa mada unataka kusema ukuta wa Yanga umemsaidia Manula kupata clean sheet ya kwanza msimu huu!!
 
dah huu ukuta wa taifa stars hatari kwakweli kama sio mabeki tungetoka patupu hongera mabeki wa taifa stars.

nimekuja kugundua djigu diara angekuwa hana beki bora asingekuwa na ubora huo.
 
Leo Manula alikuwa mchangamfu mwenye bashasha na furaha sababu alikuwa nyuma ya ukuta imara wa yanga. Nadhani huko alipo anatamani asajiliwe Yanga ili awe salama kutoka na ukuta mzito tofauti na ule wa Yeriko wa kwetu wana Lunyasi

Hongereni Yanga kwa ukuta ule mmemfanya Manula asipate kazi nzito kutoka kwa washambuliaji hatari wa Niger

Kuna kitu cha kujifunza sisi wanalunyasi mabeki wapo hapa hapa bongo.

Hongereni Taifa Stars
Mkuu tusubiri mechi ingine, walicheza hovyo ingawa walishinda,na Niger wenyewe wana kiwango duni,tuone mechi inayofuata wakikutana na Morocco kama goli haitakwepo
 
Back
Top Bottom