Manula naye kumbe boya kama maboya wengine

Goli la kwanza la kibwege. Ule mpira hakuwa na haja ya kutaka kudaka.
goli la tatu hakuna kipa duniani angeweza kulizui,kwani baada ya kuukosa mpira ukawa kama unaenda nje,ukagonga goli post na kuingia upande wa pili,goli za pili la kenya pia ilikua tikitaka moja matata sana wakati kipa alishapotea maboya,kwa uzoefu wangu amefungwa kihalali kabisa
 
Kwa kweli Manula jana hakuwa katika fomu yake na huweza kumtokea mchezaji yoyote yule. Goli la kwanza na la pili yalikuwa ni magoli ya kumpa sifa kama sio ulaji kwenye timu kubwa iwapo angeyaokoa ukijumlisha na perfomance kwenye mechi ya Senegal ilivyokuwa ya hali ya juu. Goli la tatu watu wanaliangalia kirahisi lakini rudini tena kwenye youtube muangalie jinsi Manula alivyonyoosha mbavu na bado hakuukuta mpira.Ndio maana mara nyingi timu za ulaya hupanda kusajili makipa warefu ili kwa ajili kuokoa michomo kama goli la tatu la jana.

Lakini yote hayo bado haimuondeli Manula kuwa ni kipa bora namba moja kwa Tanzania kwa sasa. Uso kwa uso na washambualiaji hakuna kipa kibongo bongo anayemkuta Manula. Mapungufu ya Manula ni kwenye krosi na kona hasa anapopiga mipira ngumi huwa haiendi mbali nje ya eneo la sita. Mapungufu mengine makubwa ni kutoka na kuacha goli ndio maana wachezaji wanaomjulia huwa wanamtungua kwa magoli ya mbali. Hata hivyo lazima tumpe sifa zake kwani angekuwa kipa wasiwasi siku na Senegal tulifungwa mbili lakini aliokoa clear goals nane na jana tumefungwa tatu lakini alifuta clear goals tatu mkijumlisha hapo mtapata jibu jumla ni goli ngapi tungekuwa tumeshakula mpaka sasa.
 
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Shemejie Amunike.
 
Manula umefanya kazi kubwa sana, uheshimiwe. Wewe daima ni Tanzania One. Manula hukutaka Team CCM ishinde you are our hero
Ni kweli anastahili sana aheshimiwe kwa kazi kubwa aliyoifanya. Ila kwamba ni Tanzania one ..mh!!Maana nahisi ukijumuisha michezo ya nje na ndani huenda ni kati ya wanaweza kuwa wanaongoza kwa kufungwa.
 
Nje ya mada kidogo! Kocha anampendea nini Himidi Mao?
 
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Eti "Binti yangu wa kike"
Kumbe una binti wa kiume [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Tukiachana na binti yako, wewe mwenyewe ungeokoa goli ngapi?
 
Kipa namba mbili tena mkuu? Hv wale wachezaji wameitwa kuchezea stars lkn mpaka leo awajacheza mechi ata moja kule wameenda kufanya nn?
Ukiwa vitani sio lazima utumie silaha zote kupambana
 
Akifanya vzuri post akuna aki mistake kwa spid kubwa kusema na senegal amjatokea mnasubir a lose ndio mpate cha kuongea
 
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Umesema ukweli mtupu huwa nawashangaa wanaomsifia manula jana tungekuwa na mtu kama kakolanya tusingefumgwa kivile
 
Back
Top Bottom