goli la tatu hakuna kipa duniani angeweza kulizui,kwani baada ya kuukosa mpira ukawa kama unaenda nje,ukagonga goli post na kuingia upande wa pili,goli za pili la kenya pia ilikua tikitaka moja matata sana wakati kipa alishapotea maboya,kwa uzoefu wangu amefungwa kihalali kabisa
na anakiwango na consistency kumzidi aishaKabisa mkuu kwanza ana kimo kuzuri kabisa.
Shemejie Amunike.Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Ni kweli anastahili sana aheshimiwe kwa kazi kubwa aliyoifanya. Ila kwamba ni Tanzania one ..mh!!Maana nahisi ukijumuisha michezo ya nje na ndani huenda ni kati ya wanaweza kuwa wanaongoza kwa kufungwa.Manula umefanya kazi kubwa sana, uheshimiwe. Wewe daima ni Tanzania One. Manula hukutaka Team CCM ishinde you are our hero
Eti "Binti yangu wa kike"Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Tukiachana na binti yako, wewe mwenyewe ungeokoa goli ngapi?Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Uko fit mkuu, next time tukufanyie mchakato ukawe kipa namba 2Pale ningetoa zote mkuu.
Ukiwa vitani sio lazima utumie silaha zote kupambanaKipa namba mbili tena mkuu? Hv wale wachezaji wameitwa kuchezea stars lkn mpaka leo awajacheza mechi ata moja kule wameenda kufanya nn?
Wabongo bhana.....Eti "Binti yangu wa kike"
Kumbe una binti wa kiume [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akifanya vzuri post akuna aki mistake kwa spid kubwa kusema na senegal amjatokea mnasubir a lose ndio mpate cha kuongea
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Umesema ukweli mtupu huwa nawashangaa wanaomsifia manula jana tungekuwa na mtu kama kakolanya tusingefumgwa kivileUkiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.