Manula ni golikipa au ni pazia?

Manula ni TANZANIA ONE, Kakolanya ndio kipa mbovu sana, subiri uone atakachofanya simba tutamkumbuka Manula, kocha asisikilize mashabiki uchwara aendelee kumuamini Manula
 
hivi nyinyi huwa mnaangalia mpira au mnahadithiwa lakini inawezekana mmeangalia lakini tayari kichwani mna hisia zenu nendeni youtube muangalie vizuri goli la pili kosa la nani au shabalala kawaroga hadi mashabiki wasione makosa yake
 
anzisha timu yako umchukue , sisi ndio tushaanzisha fitna sasa na haturudi nyuma
na wewe anzisha Timu yako ,Usimsajili Manual...yaani Yanga kuchomoa Goli mbili imekuwa shiiiiida .Utafikiri hamjui Mechi hizi za Watani,
mIMI NIMEANZA KUFUATILIA MECHI HIZI NIKIWA Chekechea...kuanzia ile Simba ykutoka Brazil na DIOGINAL MWAKA 1983! nA IKACHAPWA 3 ! M aisha yakaendela .
Kama hujui hizi Mechi endelea kupiga kelele!
 
hivi nyinyi huwa mnaangalia mpira au mnahadithiwa lakini inawezekana mmeangalia lakini tayari kichwani mna hisia zenu nendeni youtube muangalie vizuri goli la pili kosa la nani au shabalala kawaroga hadi mashabiki wasione makosa yake
Shabalala ni ugonjwa mwingine haswa apokutana timu inayocheza kwa speed, na hili ni goli la pili kujifunga ambapo la kwanza ilikuwa na azam fc tena almanusra wapigane na munula. Shabalala mechi kubwa asiwe anapangwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manula lile ni Pazia siyo kipa,halafu makipa wafupi km manula siku hizi hakuna Duniani. Kuna makipa kule Japan na Korea wafupi na ni wepesi kuruka kwa sababu ya kujua sarakasi..lkn bado wanakataliwa ulaya.

Sifa ya kwanza ya kipa ni urefu halafu ndo kipaji kinafuata. Hata maximo alisema sana kuhusu Juma kaseja. Manula lazima kutakuwa na kitu anawapa viongozi wa Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…