nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ohoooo !!Manula lile ni Pazia siyo kipa,halafu makipa wafupi km manula siku hizi hakuna Duniani. Kuna makipa kule Japan na Korea wafupi na ni wepesi kuruka kwa sababu ya kujua sarakasi..lkn bado wanakataliwa ulaya.
Sifa ya kwanza ya kipa ni urefu halafu ndo kipaji kinafuata. Hata maximo alisema sana kuhusu Juma kaseja. Manula lazima kutakuwa na kitu anawapa viongozi wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanayanga mmeanza lini kumpenda manula?Manula ni TANZANIA ONE, Kakolanya ndio kipa mbovu sana, subiri uone atakachofanya simba tutamkumbuka Manula, kocha asisikilize mashabiki uchwara aendelee kumuamini Manula
Halafu ndiyo Tanzania one 😀😀😀Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa
Goli la pili alilofungwa na yanga lilitosha kabisa kwa timu ya Simba kuanza kusaka kipa mwingine .
😆😆😆
Kama ni ule wa Balama,ningeisoma movement mzima ikiendelea nje ya 18. Ningerudi nyuma fasta ili iwe rahisi kufikia angle zote za goli. Ningechumba kupanchi ule mpira.Em niambie kamanda mwenzangu ungekuwa wewe ndio Manula ule mpira ungeokoa vipi?!
Kwa nini afungwe goli zile zile kila siku? hili swali likijibiwa naenda kunya kwenye dinning hall ya kambi ya jeshi(jwtz) sa 7 mchana wakati wajeda wanakula.Kama ni ule wa Balama,ningeisoma movement mzima ikiendelea nje ya 18. Ningerudi nyuma fasta ili iwe rahisi kufikia angle zote za goli. Ningechumba kupanchi ule mpira.
Kwa nini afungwe goli zilezile kila siku
Khaa! MaeManula lile ni Pazia siyo kipa,halafu makipa wafupi km manula siku hizi hakuna Duniani. Kuna makipa kule Japan na Korea wafupi na ni wepesi kuruka kwa sababu ya kujua sarakasi..lkn bado wanakataliwa ulaya.
Sifa ya kwanza ya kipa ni urefu halafu ndo kipaji kinafuata. Hata maximo alisema sana kuhusu Juma kaseja. Manula lazima kutakuwa na kitu anawapa viongozi wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
kila baada ya miaka 10 Tanzania hutoa kipa bora mmoja. huyu mmojawapo . tatizo mpira mliupenda mlipokuwa chuoKiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa
Goli la pili alilofungwa na yanga lilitosha kabisa kwa timu ya Simba kuanza kusaka kipa mwingine .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we ndio mwehu kabisa hahahahManula hata mimi nikipiga tizi namuweka bench. Itakuwa anatumia dawa yule,anawezaje kumuweka Beno bench
hahahahaa mkuu naona umelifukua hili kaburi.Ngoja tuone bhana !