Manula ni golikipa au ni pazia?

Manula ni golikipa au ni pazia?

Manula lile ni Pazia siyo kipa,halafu makipa wafupi km manula siku hizi hakuna Duniani. Kuna makipa kule Japan na Korea wafupi na ni wepesi kuruka kwa sababu ya kujua sarakasi..lkn bado wanakataliwa ulaya.

Sifa ya kwanza ya kipa ni urefu halafu ndo kipaji kinafuata. Hata maximo alisema sana kuhusu Juma kaseja. Manula lazima kutakuwa na kitu anawapa viongozi wa Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo !!
 
Manula hata mimi huwa simkubali kwa kweli ila sijawahi kudhani ni mbovu kwa kuwa yupo mbadala wake yaani Kakoranya. Hilo sikubaliani nalo. Hiyo ni siasa ya mpira wa bongo, fitina, fitina, fitina ili kupitia fitina mwingine anufaike. Anayefanyiwa fitina adhohofishwe. katika mechi ya juzi dhidi ya Yanga, matokeo yaliwa-surprise wenye Simba yao kiasi cha kutapatapa na kutafuta wa kumvalisha paka kengere. Kosa moja linamgharimu kipa, walalamikaji wengine hawajawahi hata kukanyaga uwanjani, achilia mbali kujua ugumu wa mpambano wa kisaikolojia kati ya kipa na striker ama mfugaji. Hasira za mashabiki dhidi ya kipa huwa ni kubwa akifungwa kuliko furaha waipatayo akiokoa goli. Manula hakuokoa magoli???

Lakini wachezaji wetu wengi si wamejitengeneza toka utotoni?! Walijichagulia namba za kucheza, wamejijenga wenyewe hadi kupatikana katika timu kubwa, kwa nini tunataka kuwalinganisha na makipa wa ulaya waliolelewa na mfumo rasmi wa soka??

Simba waache kuidharau Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa

Goli la pili alilofungwa na yanga lilitosha kabisa kwa timu ya Simba kuanza kusaka kipa mwingine .
Halafu ndiyo Tanzania one 😀😀😀
 
[emoji3]
IMG-20200106-WA0012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Em niambie kamanda mwenzangu ungekuwa wewe ndio Manula ule mpira ungeokoa vipi?!
Kama ni ule wa Balama,ningeisoma movement mzima ikiendelea nje ya 18. Ningerudi nyuma fasta ili iwe rahisi kufikia angle zote za goli. Ningechumba kupanchi ule mpira.

Kwa nini afungwe goli zilezile kila siku
 
Kwa nini afungwe goli zile zile kila siku? hili swali likijibiwa naenda kunya kwenye dinning hall ya kambi ya jeshi(jwtz) sa 7 mchana wakati wajeda wanakula.
 
wanaomsema Manula ndio haohao wanaomsifia Kaseja huku wakisahau kipindi cha nyuma walikuwa wakimponda nendeni mkaangalie marudio vizuri ya mpira muone kosa la nani Mzamiru kapoteza mpira bila sababu halafu anashangaa anashindwa hata kucheza rafu goli la pili cross i napigwa mbele ya mohamed husein halafu mnabaki kumlaumu Manula
 
Manula lile ni Pazia siyo kipa,halafu makipa wafupi km manula siku hizi hakuna Duniani. Kuna makipa kule Japan na Korea wafupi na ni wepesi kuruka kwa sababu ya kujua sarakasi..lkn bado wanakataliwa ulaya.

Sifa ya kwanza ya kipa ni urefu halafu ndo kipaji kinafuata. Hata maximo alisema sana kuhusu Juma kaseja. Manula lazima kutakuwa na kitu anawapa viongozi wa Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa! Mae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa

Goli la pili alilofungwa na yanga lilitosha kabisa kwa timu ya Simba kuanza kusaka kipa mwingine .
kila baada ya miaka 10 Tanzania hutoa kipa bora mmoja. huyu mmojawapo . tatizo mpira mliupenda mlipokuwa chuo
 
Kuna hoja humu ndani ya kwa nini Manula anafungwa magoli ya aina moja mengi kila siku?, kila anayejaribu kumtetea anaishia kuzunguka swali, siku nikipata jawabu sahihi la swali hilo hapo nitaweza mpongeza Manula, ila kwa sasa naamini kiwango chake tangu kipindi cha awali kilibebwa na bahati ya kuchezea timu zenye safu bora ya ulinzi zisizoruhusu mipira mingi kwenda kwenye lango lao kitendo kinachopelekea awe na cleansheet nyingi i.e (AZAM FC na SIMBA SC), tofauti na hapo hajawahi kuwa golikipa bora TZ, pia ninahisi atakuwa na teknolojia kubwa ya asili inayowapumbaza makocha wengi wamuone yeye ndo anawafaa.
 
Back
Top Bottom