Ile game iliamliwa na Meddi Kagere baada ya kufumaniwa na Hirizi..[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemgeukw
Duuh...! Kumbe kubashiri kwako kumepoteza maana kabisa. Yaani mpaka leo mnaamini katika uchawi ktk soka?. Masikini nchi yangu Tanzania. Kwa namna hii ni halali hata Madagascar watuzidi sokaWALA S MDA KUMLAUMU MANULA
KILICHOTOKEA N NGUVU ZA GIZA KUSHOTO KUZIZIDI KULIA WAKATI NAANDIKA DRW NILIMAANISHA NILIFANIKiWA KUONANA NA MCHEZAJI MMOJA WA SIMBA AKANIHAkiKisHIA DRW
HUKU KWETU NDIO KABISAA WOTE MPAKA VIONGOZI WANAJUA TUNAENDA KUBEBA DRW YA MAGOLI
MWACHENI KABISA MANULA N KIPA BORA KABISA NA ATABAKI KUWA BORAA
SIMBA NA YANGA 20% NDIO MPIRA HALISI UWANJANI
80% MPIRA UNACHEZWA NJE YA UWANJA
KAMA UAMINI UMEWAZA WACHEZAJI WA SIMBA WALIPOINGIA N KAMA.MISUKULE YANGA WANAPITISHA MPIRA WALIPO NA WANAUANGALIA
KAMA MABEKI WANAPITIKA MANULA N NANI ASIPITIKE
LV HM ALONE
Rubbish!WALA S MDA KUMLAUMU MANULA

Yaani watu mpaka miaka hii eti wanaamini katika uchawi kwenye soka. Mbona tungechukua sana ubingwa hata wa dunia
Katika suala la penalty kama mnakomaa kuwa haikuwa penalty basi ilikuwa red card.
Mkuu Hilo ndio tatizo kubwa la Simba na pia fitness yao sio ya dakika 90. Kuhusu magoli, goli la kwwnza la Yanga wakulaumiwa ni mzamiru aliyepoteza mpira na badala ya kufanya faulo kwa barama akawa anamsindikiza. Goli la kusawazisha Manula hawezi kukwepa lawama.Simba ina mapungufu mengi kwenye namna ya ukabaji, hili ni somo kwa kocha wao, mechi nne au tano zilizopita hawajafungwa goli kwa sababu hawakukutana na wachezaji wenye uwezo, wakaishia kukoswakoswa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote anabeba lawama. Positioning yake huwa mbovu na leo kaithibitisha hivyo.Mkuu Hilo ndio tatizo kubwa la Simba na pia fitness yao sio ya dakika 90. Kuhusu magoli, goli la kwwnza la Yanga wakulaumiwa ni mzamiru aliyepoteza mpira na badala ya kufanya faulo kwa barama akawa anamsindikiza. Goli la kusawazisha Manula hawezi kukwepa lawama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika suala la penalty kama mnakomaa kuwa haikuwa penalty basi ilikuwa red card.
Sasa niambie aliyebebwa ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapendwa mpaka na ara cii Bashite! Mwacheni Tanzania wani wetu! Aishi endelea hivyo hivyo......!
Dah unajua sana mpira ,nimesema kabisa kama manula angekuwa usawa wa golini asingefungwa au angeweza kuokoa,na balama alipiga baada ya kuona manula katoka golini,manula aanze bench sababu Hana analomzidi kakolanya;fikiria michomo ya wazi aliyookoa kipa wa yanga ingekuwa manula wangefungwa magoli mengi,manula anabebwa na baadhi ya viongozi clubuni,Kaiua sana simba jana,inaumiza mnoo aisee,balama mara ya pili hii anamfunga aina sawa ya magoli