Manula siyo goalkeeper,acheni kumbemba

Manula siyo goalkeeper,acheni kumbemba

WALA S MDA KUMLAUMU MANULA

KILICHOTOKEA N NGUVU ZA GIZA KUSHOTO KUZIZIDI KULIA WAKATI NAANDIKA DRW NILIMAANISHA NILIFANIKiWA KUONANA NA MCHEZAJI MMOJA WA SIMBA AKANIHAkiKisHIA DRW

HUKU KWETU NDIO KABISAA WOTE MPAKA VIONGOZI WANAJUA TUNAENDA KUBEBA DRW YA MAGOLI

MWACHENI KABISA MANULA N KIPA BORA KABISA NA ATABAKI KUWA BORAA

SIMBA NA YANGA 20% NDIO MPIRA HALISI UWANJANI
80% MPIRA UNACHEZWA NJE YA UWANJA

KAMA UAMINI UMEWAZA WACHEZAJI WA SIMBA WALIPOINGIA N KAMA.MISUKULE YANGA WANAPITISHA MPIRA WALIPO NA WANAUANGALIA

KAMA MABEKI WANAPITIKA MANULA N NANI ASIPITIKE

LV HM ALONE
Duuh...! Kumbe kubashiri kwako kumepoteza maana kabisa. Yaani mpaka leo mnaamini katika uchawi ktk soka?. Masikini nchi yangu Tanzania. Kwa namna hii ni halali hata Madagascar watuzidi soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WALA S MDA KUMLAUMU MANULA

KILICHOTOKEA N NGUVU ZA GIZA KUSHOTO KUZIZIDI KULIA WAKATI NAANDIKA DRW NILIMAANISHA NILIFANIKiWA KUONANA NA MCHEZAJI MMOJA WA SIMBA AKANIHAkiKisHIA DRW

HUKU KWETU NDIO KABISAA WOTE MPAKA VIONGOZI WANAJUA TUNAENDA KUBEBA DRW YA MAGOLI

MWACHENI KABISA MANULA N KIPA BORA KABISA NA ATABAKI KUWA BORAA

SIMBA NA YANGA 20% NDIO MPIRA HALISI UWANJANI
80% MPIRA UNACHEZWA NJE YA UWANJA

KAMA UAMINI UMEWAZA WACHEZAJI WA SIMBA WALIPOINGIA N KAMA.MISUKULE YANGA WANAPITISHA MPIRA WALIPO NA WANAUANGALIA

KAMA MABEKI WANAPITIKA MANULA N NANI ASIPITIKE

LV HM ALONE
Rubbish!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ina mapungufu mengi kwenye namna ya ukabaji, hili ni somo kwa kocha wao, mechi nne au tano zilizopita hawajafungwa goli kwa sababu hawakukutana na wachezaji wenye uwezo, wakaishia kukoswakoswa tu.

Mkuu Hilo ndio tatizo kubwa la Simba na pia fitness yao sio ya dakika 90. Kuhusu magoli, goli la kwwnza la Yanga wakulaumiwa ni mzamiru aliyepoteza mpira na badala ya kufanya faulo kwa barama akawa anamsindikiza. Goli la kusawazisha Manula hawezi kukwepa lawama.

Yote anabeba lawama. Positioning yake huwa mbovu na leo kaithibitisha hivyo.

Alishaona timu imepoteza mpira na jamaa anasogea kupiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah unajua sana mpira ,nimesema kabisa kama manula angekuwa usawa wa golini asingefungwa au angeweza kuokoa,na balama alipiga baada ya kuona manula katoka golini,manula aanze bench sababu Hana analomzidi kakolanya;fikiria michomo ya wazi aliyookoa kipa wa yanga ingekuwa manula wangefungwa magoli mengi,manula anabebwa na baadhi ya viongozi clubuni,Kaiua sana simba jana,inaumiza mnoo aisee,balama mara ya pili hii anamfunga aina sawa ya magoli
 
Inasemekana mkataba wa manula na simba umesainiwa lazima awe namba 1 kama siyo majeruhi,hapo ndo utata

Back
Top Bottom