Manula siyo goalkeeper,acheni kumbemba

Manula siyo goalkeeper,acheni kumbemba

Juma mgunda alimuacha kwenye chan ila wanasimba tukamuona mbaya,
manula anapangwa kwa sababu anapigania nafasi kwa kuroga sana pale simba ila uwezo hana,

Golikipa gani anafungwa magoli hayohayo kila siku,
ukiinua macho ukapiga ndefu imooo,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah unajua sana mpira ,nimesema kabisa kama manula angekuwa usawa wa golini asingefungwa au angeweza kuokoa,na balama alipiga baada ya kuona manula katoka golini,manula aanze bench sababu Hana analomzidi kakolanya;fikiria michomo ya wazi aliyookoa kipa wa yanga ingekuwa manula wangefungwa magoli mengi,manula anabebwa na baadhi ya viongozi clubuni,Kaiua sana simba jana,inaumiza mnoo aisee,balama mara ya pili hii anamfunga aina sawa ya magoli
Yaani yanga wamepiga on target mara mbili na wamefunga mabao mawili, maana yake, yaani acha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom