Steven Nguma
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,074
- 1,147
Kweli kabisaaa na akiona mabondia wengine wanavyougua mavichwa bora akale jasho lake taratibuKakwepa ngumi nyingi huyo acha ale bata haikua kazi rahisi
Na wengine wakifilisika anaona isiwe tabu ale starehe kwa akili.Kweli kabisaaa na akiona mabondia wengine wanavyougua mavichwa bora akale jasho lake taratibu
Kaseba Kaukauna utanzania. Ni muarabu saa hiziWapi Cheka Francis, Matumla Rashid, Maugo Mada etc
Tumekuha?? Duh kweli shule mlikwenda kusomea ujinga. Hata syntax ni shughuli.Wengine tumekuha kuwasindikiza wanaoishi duniani
Huwezi kuamini hata mimi sijaelewa kabisa.Hadithi hii inatufundisha nini?
Hard work pay..Hadithi hii inatufundisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeKaseba Kaukauna utanzania. Ni muarabu saa hizi
Hahah balanceDuu yaani humu wengine tumekwa tu Ku balance hii dunia eti?
Ngoja nikupe pole tu.Huwezi kuamini hata mimi sijaelewa kabisa.
#nakwenda_zimbabwe
kuwa na WIVU WA MAENDELEO NA KUPAMBANA NA HALI ZETUHadithi hii inatufundisha nini?