Manunuzi makubwa aliyofanya Floyd Mayweather

Hadithi hii inatufundisha namna ya akili mweusi na mweupe zinavyotofautiana
Acha kujidharau mkuu, jamaa katoa ajira kwa watu, embu nitajie bilioner mzungu asiye na vitu vya anasa......

Angekuwa kafanya hivyo mwarabu tungesifia ila kafanya Mwafrica mwenzako imekuwa nongwa, mjibangua hadi wenyewe
 
Mwambie aise...mtunza bustani anawalipa milioni 6 kwa mwezi
 
Difference is JayZ hafanyi show offs za kijinga kama Mayweather. Floyd kawa star ghafla na dharau nyingi zinampanda kichwani. Jamaa dharau selfish plus abusive sana. Yet dumb as hell.
Akajifunze hata kusoma basi.
Prof Lipumba unaweza kuniambia elimu inamsaidiaje?

Mtu anasoma ili aje ajikwamue katika maisha, Flyde shule akafanye nn???

jamaa ana bilion mia 9 katumia bilioni mia moja . 2 tu, hahhaa... Leo mvua imenyesha nenda kapande mahindi usije ukalala njaa... Wacha wenye hela zao wafanye yao..... Kama hujui matumizi ya hela wee kaa pembeni
 
Unakuwa msomi kama Lipumba halafu unaishia kujibanza kwenye viofisi vya chama na kulala Quest na kutumika na wanasiasa hasa wa cmm kueneza unaa,foolish kabisa.
 
Huyu jamaa hatokaa afirisike labda akiwa mzee Sana sababu huwa anazitumbua pesa zake wee haraf zikipungua anaandaa pambano LA kununua anashinda anajilipa mabilioni mengine anaenda kuyatumbua Tena[emoji3][emoji3]
 
Angekuwa bongo hapa, kwa roho mbaya za maccm na huyu mwenye kichwa kama lens mbonyeo wangekuwa wameshamweka ndani, huku mchakato wote ukiwa unaongozwa na mpigwa madole a.k.a bashte!
 
Na hizo bilioni 900 zinaelekea kuongezeka ...majuzi alikutana na Warren Buffet kumpa mbinu za kuongeza pesa....
 
Unakuwa msomi kama Lipumba halafu unaishia kujibanza kwenye viofisi vya chama na kulala Quest na kutumika na wanasiasa hasa wa cmm kueneza unaa,foolish kabisa.
Hapo ndo napochoka ..kuna picha yake moja kavaa shati limeloa jasho upande wa nyuma...mwana uchumi eti na wana uchumi wa ulaya ni matajiri
 
Hivi jamaa hatafuti house boy?
Watunza bustani katika nyumba zake kiwango cha mwishi wanalipwa milioni 6 kwa mwezi ...sjajua kwa wafanyaka wa ndani,,ila unaambiwa mfano jikoni kwake wapishi wanalipwa kwa lisaa...na jikoni hua anaweka kwenye meza begi limejaa minoti na wala haliguswi mpishi akimaliza muda wake anamchomolea bunda moja
 
Angekuwa bongo hapa, kwa roho mbaya za maccm na huyu mwenye kichwa kama lens mbonyeo wangekuwa wameshamweka ndani, huku mchakato wote ukiwa unaongozwa na mpigwa madole a.k.a bashte!
Hahaha
 
Huyu jamaa hatokaa afirisike labda akiwa mzee Sana sababu huwa anazitumbua pesa zake wee haraf zikipungua anaandaa pambano LA kununua anashinda anajilipa mabilioni mengine anaenda kuyatumbua Tena[emoji3][emoji3]
Bila kusahau kubeti halaf ana kismati anashinda sana mipesa
 
Back
Top Bottom