Manunuzi makubwa aliyofanya Floyd Mayweather

Manunuzi makubwa aliyofanya Floyd Mayweather

Kufanya kazi kwa bidii kwa kujituma, na kuwa wabunifu na maarifa ili kufikia malengo, mwisho wa siku tutaishi maisha ambayo tulipanga kuishi kupitia mafanikio tuliyoyapata.

[emoji3] [emoji1] [emoji119] [emoji119]

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] hiyo avatar duh mkuu tunaumizana ujue

Cc popoma
 
Prof Lipumba unaweza kuniambia elimu inamsaidiaje?

Mtu anasoma ili aje ajikwamue katika maisha, Flyde shule akafanye nn???

jamaa ana bilion mia 9 katumia bilioni mia moja . 2 tu, hahhaa... Leo mvua imenyesha nenda kapande mahindi usije ukalala njaa... Wacha wenye hela zao wafanye yao..... Kama hujui matumizi ya hela wee kaa pembeni
Lipumba akili zake kama zako tu no wonder you kiss other mens buttholes!
He is b**tch like you.
Unatamani ningekuwa mlima mahindi eeenh !? Ja! Haya kamwambie umemtetea umpe na proof kama ataweza kusoma akupe hela ya Mafuta ya taa
 
Lipumba akili zake kama zako tu no wonder you kiss other mens buttholes!
He is b**tch like you.
Unatamani ningekuwa mlima mahindi eeenh !? Ja! Haya kamwambie umemtetea umpe na proof kama ataweza kusoma akupe hela ya Mafuta ya taa
Umaskini ni mbaya sana, sijui kwanini maskini roho huwa inamuuma akiona tajiri akifanya yake
 
Hyo Pete imenikosha..inathamani kubwa kuliko Nyumba anayishi.
Amakweli pesa ikitua kwenye mikono ya mwendawazimu ni hatari.
 
Huyu mwehu tu. Utajiri Bil 900 ndio nini sasa, wakina Bill Gates wana trilion 80, na wanasaidia binadamu wengine wenye shida, yeye kasema hawezi saidia mtu kwa kuwa hakuna aliyemsaidia. Huyu ana mental sickness
Huwezi jua life aliyoishi nyuma ilikuwaje,
halafu kwanini iwe ni lazima kumsaidia mtu wakati MSAADA ni Hiari??

Pia upunguze wivu la sivyo sema wewe una utajiri wa bilion ngapi mpaka Bil 900 zake uzidharau.
 
Difference is JayZ hafanyi show offs za kijinga kama Mayweather. Floyd kawa star ghafla na dharau nyingi zinampanda kichwani. Jamaa dharau selfish plus abusive sana. Yet dumb as hell.
Akajifunze hata kusoma basi.
Kwann usiombe Mungu akupe na wewe angalau kuliko kutoa povu kama hivyo!!? hahaha ila maskini sisi tuna shida sana unaanzaje kumpangia mtu jinsi ya kuspend jasho lake!!??

Jayz na Mayweather hawawezi kua sawa kwa sababu ni watu wawili tofauti.
 
Kwann usiombe Mungu akupe na wewe angalau kuliko kutoa povu kama hivyo!!? hahaha ila maskini sisi tuna shida sana unaanzaje kumpangia mtu jinsi ya kuspend jasho lake!!??

Jayz na Mayweather hawawezi kua sawa kwa sababu ni watu wawili tofauti.
Wabongo ndivyo tulivyo. Yaani jamaa anahenyeka ulingoni, anapigwa ndonga za maana hadi oblangata inatikisika. Sasa akizipata pesa zake ghafla tu yani(wazungu wanaita from nowhere) anatokea mwana flani amaizing toka Tandale Kwa Tumbo anamwambia we bwana wewe hiyo pesa tukanunue kiwanja tujenge halafu chenji tukalime matikiti nasikia yanalipa sana. Tuweni serious asee.
 
Wabongo ndivyo tulivyo. Yaani jamaa anahenyeka ulingoni, anapigwa ndonga za maana zinatisa hadi oblangata inatikisika. Sasa akizipita pesa zake ghafla tu yani(wazungu wanaita from nowhere) anatokea mwana flani amaizing toka Tandale Kwa Tumbo anamwambia we bwana wewe hiyo pesa tukanunue kiwanja tujenge halafu chenji tukalime matikiti nasikia yanalipa sana. Tuweni serious asee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila kusahau anaanza kumkumbushia akaweke umeme kijijini kwao mara ooh usisahau na shule uliyosomea blah blah blah kibaooo ndio maana Mungu hatupi tunaishia kua watazamaji.
 
Back
Top Bottom