Manunuzi makubwa aliyofanya Floyd Mayweather

Kwann usiombe Mungu akupe na wewe angalau kuliko kutoa povu kama hivyo!!? hahaha ila maskini sisi tuna shida sana unaanzaje kumpangia mtu jinsi ya kuspend jasho lake!!??

Jayz na Mayweather hawawezi kua sawa kwa sababu ni watu wawili tofauti.

Usilolijua kama usiku wa giza,
Hongera kwa kuwa mjinga
 
Kuna tofauti kubwa sana ya matumizi kati ya matajiri weupe kama Bil Gate, Murdoch na Buffet na matajiri weusi kama Maywether na wengineo. Matajiri weusi wana matumizi ya hovyo sana na ya kujionyesha kuwa wanazo wakati matajiri wa kizungu wana nidhamu ya hali ya juu ktk matumizi yao na wanatumia utajiri wao kusaidia na kuifanya dunia iwe mahali bora pa kuishi.

Utajiri kama wa Bil Gate hakuna ambaye haujamgusa hapa Tanzania, wakati utajiri wa Maywether utakugusa pale utakutana naye supermarket akifanya manunuzi.

BTW hivi Bil Gate naye anayo private jet binafsi kama ya Maywether?

Vv
 
Gates ana private jet na private yatch. Sema hana show off.
Na kusaidia ni mbinu ya kuongeza utajiri.
 
Kuna tofauti kubwa sana ya matumizi kati ya matajiri weupe kama Bil Gate, Murdoch na Buffet na matajiri weusi kama Maywether na wengineo. Matajiri weusi wana matumizi ya hovyo sana na ya kujionyesha kuwa wanazo wakati matajiri wa kizungu wana nidhamu ya hali ya juu ktk matumizi yao na wanatumia utajiri wao kusaidia na kuifanya dunia iwe mahali bora pa kuishi.

Utajiri kama wa Bil Gate hakuna ambaye haujamgusa hapa Tanzania, wakati utajiri wa Maywether utakugusa pale utakutana naye supermarket akifanya manunuzi.

BTW hivi Bil Gate naye anayo private jet binafsi kama ya Maywether?

Vv
Tena huko supermarket ama madukani anawanunulia wadada wote ambao watakutwa huko kwa siku hio
 
Back
Top Bottom