Asant.Ndugu,cha muhimu hapo ni namba yako ya simu na postal address.hasa simu iwe inapatikana kwasababu mzigo wako utakuja directly posta na posta watakupigia simu uende upokee mzigo wako pale.utaenda na kitambulisho.
Kuhusu malipo,pesa inakatwa kwenye account ambayo utapenda wakate ela.ila lazima hiyo account iwe inaruhusu kufanya online transaction.ilo linafanyika bank.nenda watakupa form ya kujaza ili waifanye account yako iweze kufanya manunuzi mtandaoni.
Unatumia mfumo upi..??Pia naomba msaada kuelekezwa kuhusu payment wakuu.
[emoji316][emoji316] mkuu na vp apo kwenye APARTMENT/UNIT wananichanganya.. sijui elimu yangu ndogo dohUnatumia mfumo upi..??
Kama unataka urahisi angalia sehemu ya kulipia kama wanaruhusu MasterCard..
Then unaweza lipia kwa kutumia MasterCard ya mpesa MasterCard.. airtel pia wanayo ila sijawahi itumia naiamini ya voda maana nishaitumia..
Ni rahisi kabisa hata kujiunga ukiwa na hela mpesa unaihamishia mpesa MasterCard chap tu then unafanya malipo hayo yote yanatendeka ndani ya muda mfupi tu ni wewe na simu yako tu au kifaa chako unamaliza kazi unasubiri mzigo wako..
Kama unaswali juu ya mpesa MasterCard wapigie wahusika watakuelekeza kila kitu mkuu hawamezi wale ni watu kama sisi tu hata huyo unaenunua mzigo kwake unaweza kuchati nae akakupa details ambazo unazihitaji...[emoji12][emoji28]
Ukiwa unajua kitu bhana mpk wenzako unaweza ita makomamanga..[emoji28][emoji28]
Mkuu nizoee mi mtu wa masihara..[emoji28]
Nimeshakujibu Hilo mkuu.. hilo sijui Ila nahisi ni namba ya nyumba n.k ngoja wengine wakusaidie lkn kama ingekuwa mimi nisingepajaza..π[emoji316][emoji316] mkuu na vp apo kwenye APARTMENT/UNIT wananichanganya.. sijui elimu yangu ndogo doh
Mkuu badili avatar yako inatutisha wengine sisi ni watoto!..πasant kakaa