Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,615
- 3,205
Habari wana JF, kwa wazoefu naomba msaada kuelekezwa namna ya kuijaza adress Fomu ya ALIEXPRESS kuna parcel nahitaji kuiagiza uko mtandaoni sasa nimekomea apa.
1. STREET ADRESS ni adress ya posta mahali nilipo au.??
2. kuna section imeandikwa APARTMENT/SUIT/UNIT etc apa pia sijapaelewa kabisa.
3. Hii sehem ya STATE/PROVINCE/COUNTRY najaza nin.
4. Na sehemu ya CITY ni kwamba najaza mji wangu ama nin maana nipo nje kabisa ya mji yaan mkoani .
5. Nikimalizia na kipengele cha ZIP CODE ne na hiz ni code gani. tafadhar msaada
MZIGO NILIPENDA NIUPOKEE KUPITIA POSTA