toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Kwa wanunuzi wa bidhaa mtandaoni; hapa nazungumzia Aliexpress na Alibaba huu ni uzi maalum wa kujifunza kuagiza bidhaa kupitia mtandao huu hususan Aliexpress.
Mjuavyo Aliexpress ni mtoto wa Alibaba. Alibaba imebase kwenye kuuza bidhaa za jumla huku Aliexpress wakibase kuuza bidhaa za rejareja na mojamoja kwa mteja.
Ndio mtandao unaokua kwa kasi na umekuwa na wanunuzi wengi kupita hata Amazon na ebay.
Kupitia uzi huu nimeanzisha hili tuweze kupeana elimu na maarifa kuhusu manunuzi kupitia hizi site kama walivyofanya wenzetu walivyoanzisha uzi wao tukajifunza kuhusu ebay.
Natumai wataalam na wenye uzoefu mpo humu na mtajibu maswali ya wengi wetu tunaopenda kufahamu zaidi na kujifunza kuhusu Aliexpress na maswali mengi yatabase kwenye kila kitu
mfano mpaka bidhaa imfikie muhusika, gharama, system ya malipo, muda, na uimara wa bidhaa n.k
Karibuni sana wadau