Manunuzi ya bidhaa mtandaoni; leo tuiangalie Aliexpress na Alibaba

Manunuzi ya bidhaa mtandaoni; leo tuiangalie Aliexpress na Alibaba

Hata eBay or Amazon quality ni mbaya kwa sababu ni watu binafsi kila mtu anauza biashara yake wengine kufika China. Ila kabla hujanunua mzigo soma customer review . Bidhaa zikiwa mbaya watu wanaelezea.na bidhaa za huyo mtu zimepata star ngapi.mimi mnunuaji Wa Amazon .ila vitu vidogo vidogo tu.maana sometimes kitu unakiona kwenye screen ukiletewa live kibaya.
Mkuu naomba ushauri. No bidhaa gani ambazo no cheap kununua online? Maana naona ukinunua bidhaa online kuna kodi na mengineyo. Naomba mifano ya bidhaa. Ahsante
 
Samahani wadau naomba kujuzwa au kuwadirected kwenye thread iliyozungumzia kuhusu mambo muhimu katika kufanya manunuzi kupitia online platform za china hasa alibaba na aliexpress
 
Back
Top Bottom