Manunuzi ya bidhaa mtandaoni; leo tuiangalie Aliexpress na Alibaba

Mkuu naomba ushauri. No bidhaa gani ambazo no cheap kununua online? Maana naona ukinunua bidhaa online kuna kodi na mengineyo. Naomba mifano ya bidhaa. Ahsante
 
Samahani wadau naomba kujuzwa au kuwadirected kwenye thread iliyozungumzia kuhusu mambo muhimu katika kufanya manunuzi kupitia online platform za china hasa alibaba na aliexpress
 
Mimi huwa nanunua moja kwa moja mwenyewe. Ziko salama.

Samahani wadau naomba kujuzwa au kuwadirected kwenye thread iliyozungumzia kuhusu mambo muhimu katika kufanya manunuzi kupitia online platform za china hasa alibaba na aliexpress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…