Sychbh
Member
- Aug 2, 2018
- 14
- 5
wakuu nimejaribu ku search lakini sijaona uzi unaozungumzia hii issue ya kununua laptops na sim online.
nataka kununua laptop moja lenovo x270, soko la bongo hapa kariakoo nilziona duka moja pale mtaa wa kongo ilikua inauzwa 370k lakini sikua na pesa. sasa nikiicheki ebay, minimum price ni USD400. nimeenda lile duka kuichungulia, nikakuta zimaisha.
sasa nataka kujua wale jamaa wa kaliakoo hua wanatoa wapi mizigo? au kama kuna mdau humu wa izi issue za laptop basi atoe ujuzi wake niipate hii machine. nina shida nayo sana hasa kwa sasa baada ya laptop yangu kupiga short