Manyama jamani loo!!!!

Manyama jamani loo!!!!

Joined
Sep 26, 2016
Posts
68
Reaction score
51
Siku moja manyama alikuwa darasani mwalimu akiuliza maswali..sasa kila swali mwalimu akiuliza akaona wenzake wananyooosha kwa nguvu sana.... Mwalimu akaendelea kuuliza ghafla manyama naye akaanzaa kunyoosha mkono tens hiyo kwa Mara ya kwanza tungu aanze shule. Basi mwalimu akaendelea kama kawaida maswali maswali...kilichomshangaza mwalimu ni kuwa kila swali alilouliza manyama naye yumo...kitendo kile kilimpa faraja sana mwalimu akijihisi kuwa kweli sasa anafundisha maana had I manyama ameelewa haikuwa kazi rahisi. Basi mwalimu akaendelea kuuliza maswali. Mwishowe akawauliza wanafunzi 2+3=na ngapi?_tena wanafunzi wa darasa LA Tatu hvoo. Nakwambia darasa lote liligeuka kuwa uwanja wa kushangilia, huyo manyama ndo kabisa akasimama mpka juu ya dawati, sasa mwalimu akaona dah Leo nimemnyima sana nafasi manyama ngoja nimchague ajibu swali hili. Mwalimu akamwambia manyama jibu,,, manyama darasa lots lilikaa kimya kabisa kila mwanafunzi alikuwa na kiu ya kumsikia manyama Leo atajibu nin, basi jamaa akaangalia mbele nyuma akaguna kidogo alafu akajibu kwa ukakamavu zaid MWALIMU SAMAHANI ETI PENSELI YANGU UMEOINA WAPI? Hv kama wewe ungekuwa Mwalimu ungemjibuje?
 
Back
Top Bottom